Al Zawahiri ajitokeza tena
20 Desemba 2006Matangazo
Kiongozi wa pili wa kundi la kigaidi la Al Qaeda, Ayman al-Zawahiri ametoa taarifa kwa njia ya video akipinga uchaguzi wa wapalestina. Al-Zawahiri makamu wa Osama bin Laden, alisema katika kanda hiyo ya vodeo iliotangazwa na televisheni ya Al Jazeera, kwamba njia pekee ya kuikomboa Palestina ni vita vya jihadi.