1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Alfonso Dhlakama wa Msumbiji aaga dunia

John Juma
4 Mei 2018

Kiongozi wa zamani wa waasi na kiongozi wa upinzani wa muda mrefu nchini Msumbiji Alfonso Dhlakama ameaga dunia. Dhlakama amefariki akiwa na umri wa miaka 65 kutokana na kile vyombo vya habari nchini humo vimeripoti kuwa ni mshtuko wa moyo.

https://p.dw.com/p/2xAQJ