1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Alopecia: Nywele kunyofoka na kuacha upara kichwani

Thelma Mwadzaya3 Agosti 2020

Katika makala ya Afya Yako, safari hii tunaangazia tatizo la nywele kunyofoka na kuacha kichwa na upara. Tatizo hilo linajulikana kwa lugha ya kimatibabu kama Alopecia. Thelma Mwadzaya anasimulia zaidi.

https://p.dw.com/p/3gJdJ