Rais Donald Trump kumualika Rais Vladimir Putin mjini Washington baadaye mwaka huu.// Rais wa D.R-Congo Joseph Kabila, atoa hakikisho kuwa uchaguzi mkuu, utaendelea kama ulivyopangwa lakini achelea kusema ikiwa atagombea tena urais.// Mahakama ya juu ya Uhispania, imeufuta waranti wa kimataifa wa kutaka wanasiasa sita akiwemo rais wa zamani wa jimbo la Catalonia wakamatwe.