Maisha ya kawaida yaanza kurejea polepole kati ya Israel na Wapalestina siku moja baada ya mpango wa kusitisha mapigano.//
Rais wa Marekani Joe Biden asema suluhisho pekee kwa mzozo wa Mashariki ya Kati ni kuundwa mataifa mawili.//
Mkuu wa majeshi wa Nigeria afariki kufuatia ajali ya ndege kaskazini mwa nchi hiyo.