1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Awamu ya 5 ya Karandinga imerejea!

Grace Kabogo
4 Machi 2020

Awamu ya 5 ya mchezo wa redio wenye mafanikio makubwa ianendelea. Jiandae kusikiliza vipindi vipya vya kufurahisha na kusisimua kuhusu masuala muhimu kama vile kauli za chuki, kuzuia kipindupindu na uzalishaji envdelevu wa mkaa.

https://p.dw.com/p/3Xc97