1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Je ni kweli wanasiasa wa Tanzania wanaleta uchochezi?

Saumu Yusuf11 Septemba 2023

Baada ya rais Samia Suluhu Hassan kuwaonya wanasiasa juu ya kauli zao alizozitaja kuwa ni za uchochezi, je kuna ukweli wowote kwamba kinachofanywa na wanasiasa wa upinzani kwenye mikutano ya hadhara ni uchochezi? Suali hilo na mengine mengi yalijadiliwa katika mahojiano kati ya mwenzetu Saumu Mwasimba na mchambuzi wa masuala ya kisiasa Marcel Hamduni aliyeko Mwanza, Tanzania.

https://p.dw.com/p/4WCvi