1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Baraza kuu CUF lamtimua Lipumba

27 Septemba 2016

Mgogoro ndani ya chama cha wananchi CUF umechukua sura mpya baada ya kikao cha baraza kuu la uongozi wa taifa wa chama hicho kumfuta kabisa uanachama aliyekuwa Mwenyekiti wa chama hicho, Ibrahim Lipumba.

https://p.dw.com/p/2QeCB
Ibrahim Lipumba, aliyekuwa mwenyekiti wa CUF
Ibrahim Lipumba, aliyekuwa mwenyekiti wa CUFPicha: DW/M.Khelef

KUFUKUZWA LIPUMBA - MP3-Stereo