1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Bayern waisakama Hoffenheim Bundesliga

Josephat Charo
25 Oktoba 2021

Bayern Munich waishushia kipigo Hoffenheim 4-0 na kuendelea kupepea katika Bundesliga huku Bochum wakiishangaza Eintracht Frankfurt nyumbani. Game over! Nje! Kibarua cha kocha wa Wolfsburg Mark van Bommel chaota mbawa. Liverpool yainyoa bila maji Manchester United ligi ya Premier. Klabu ya Simba yabanduliwa mashindano ya ligi ya mabingwa barani Afrika

https://p.dw.com/p/429td