1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

BEIJING.Mkutano wa viongozi wa Afrika na China umefunguliwa leo

3 Novemba 2006
https://p.dw.com/p/CCwQ

Jamuhuri ya umma wa China inapanga kutangaza hatua kadhaa za kuimarisha uhusiano wa kibishara na misaada kwa nchi za Afrika.

Hayo yametangazwa wakti mkutano wa viongozi wa bara la Afrika na jamuhuri ya umma wa China ulipofunguliwa leo hii mjini Beijing.