1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Binadamu ndio chanzo cha njaa nchini Nigeria

Lilian Mtono
18 Oktoba 2017

Kwa miaka saba, mgogoro wa kulikabili kundi la kigaidi la Boko Haram katika jimbo la Kaskazini mashariki mwa Nigeria unapamba moto. Hali inapozidi kuwa mbaya, wakulima katika eneo hilo wanalazimika kuyakimbia mashamba yao.

https://p.dw.com/p/2m40f