1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Binti wa Mandela afariki dunia

13 Julai 2020

Huzuni imetanda huko nchini Afrika Kusini baada ya binti wa aliyekuwa rais wa Afrika Kusini Nelson Mandela kufariki dunia baada ya kuugua. Video hii fupi itakuonyesha miongoni mwa mambo aliyoyafanya binti huyu na kumpa umaarufu mkubwa. #Kurunzi

https://p.dw.com/p/3fEbx