1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Bremen yaishangaza Bayern katika Bundesliga

Josephat Charo
22 Januari 2024

Bayern Munich yaangukia pua na kuwaacha Bayer Leverkusen wakipepea kileleni mwa Bundesliga. Matumaini ya timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars kufuzu kwa duru ya mtoano kwenye mashindano ya kombe la mataifa ya Afrika AFCON yadidimia nchini Ivory Coast.

https://p.dw.com/p/4bYH3