1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Bundesliga kurejea Ijumaa

Josephat Charo8 Januari 2024

Ligi kuu ya kandanda ya Ujerumani, Bundesliga yatarajiwa kurejea viwanjani Ijumaa huku Bayern Munich ikiwa na miadi na Hoffenheim. Kocha wa Liverpool Jürgen Klopp akipongeza kikosi chake kwa kufanya vyema licha ya wachezaji muhimu kukosekana.

https://p.dw.com/p/4aywI