1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Bunge la Kenya lampinga Bw. Aron Ringera

18 Septemba 2009

Nchini Kenya Naibu Mkurugenzi wa tume ya kupambana na ufisadi Dr. Smokin Wanjala amejiuzulu.Hii ni kufuatia hatua ya uteuzi wake, pamoja na mkurugenzi mkuu wa tume hiyo Bw. Aron Ringera kupingwa na bunge.

https://p.dw.com/p/JkCB
Jengo la Bunge mjini NairobiPicha: DW

Rais Mwai Kibaki aliwaongezea muda wa kuhudumu kulingana na mamlaka aliyonayo. Jane Nyingi alizungumza na mchambuzi wa maswala ya kisiasa nchini Kenya Profesa Kimani Njogu na kwanza anaeleza alivyopokea kujiuzulu kwa Bw. Smokin Wanjala.

Mwandishi: Jane Nyingi

Mhariri: Mohamed Abdulrahman