1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Chama cha CCM nchini Tanzania yatimiza miaka 36

5 Februari 2013

Leo ni miaka 36, tangu kuzaliwa kwa chama tawala nchini Tanzania. Chama chama cha Mapinduzi -CCM kiliundwa kutokana na muungano wa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro Shiraz Party (ASP) cha Zanzibar.

https://p.dw.com/p/17YC1
Rais wa Tanzania na mwenyekiti wa CCM Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete
Rais wa Tanzania na mwenyekiti wa CCM Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho KikwetePicha: dapd

Leo ni miaka 36, tangu kuzaliwa kwa chama tawala nchini Tanzania. Chama chama cha Mapinduzi -CCM kkiliundwa kutokana  na muungano wa Tanganyika African National  Union (TANU) na Afro Shiraz Party (ASP) cha Zanzibar. Nimezungumza na Katibu Mwenezi na Itikadi wa chama hicho Nape Nnauye na kwanza nilitaka kujuwa kipi hasa  cha kujivunia katika kipindi hiki cha miaka 36.

Mwandishi: Sudi Mnette

Mhariri:Mohammed Abdul-Rahman