1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Chama cha Chadema Tanzania kimekwenda mahakamani kuishtaki serikali ya Zanzibar

8 Oktoba 2009

<p>Chama cha Chadema leo kimekwenda mahakamani kufungua kesi dhidi ya serikali ya mapinduzi ya Zanzibar kwa madai kwamba imekiuka sheria mbili, za katiba za Tanzania na Zanzibar kuhusiana na swala la vitambulisho.

https://p.dw.com/p/K2LC
Munira Muhammed alizungumza na Hamad Musa Yusuf Naibu katibu mkuu wa Chadema Zanzibar. Alianza kwa kumuuliza aeleze kwa kina  hatua hii waliyoichukuwa.