1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Changamoto inayoikumba Afrika ya kulinda nembo zake

Saumu Ramadhani Yusuf15 Februari 2019

Je Afrika imeshindwa kulinda ipasavyo nembo zake? Mjadala umekuwa ukiendelea kuhusu kunyakuliwa kwa nembo za Afrika zinazojumuisha maeneo ya vivutio. Je zipo sera madhubuti za ulinzi wa nembo za Afrika? Saumu Mwasimba anaangazia hayo na mengine mengi kwenye kipindi Utamaduni na Sanaa

https://p.dw.com/p/3DQW3