1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Changamoto za watu wa Arusha wakati wa uchaguzi

28 Oktoba 2020

Wakaazi wa Arusha nchini Tanzania nao wamejitokeza kupiga kura tangu mapema asubuhi. Pamoja na wengine kufanikiwa kupiga kura bila shida yoyote, wapo waliopata changamoto. Zaidi Tazama vidio hii ilioandaliwa na Veronica Natali muandishi wetu kutoka Arusha. #kurunzi

https://p.dw.com/p/3kY0Y