1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

China yaadhimisha miaka 40 ya mageuzi

Mohammed Khelef
18 Desemba 2018

China inaadhimisha miaka 40 ya mageuzi makubwa ambayo yamelifanya liwe taifa lenye nguvu za kiuchumi, kijeshi na kibiashara, lakini Rais Xi Jinping anasema kuendelea kwa taifa lake hakumaanishi kuyaangamiza mengine.

https://p.dw.com/p/3AIZ2