1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Chuo cha ndege zisizo na rubani Cote d'Ivoire

Grace Kabogo
27 Machi 2018

Chuo cha ndege zisizo na rubani kimeanzishwa Cote d'Ivoire kwa lengo la kusaidia katika sekta ya umeme, teknolojia, kilimo na madini. Wanafunzi wanajifunza jinsi ndege hizo zinavyoweza kukagua miundombinu na kuhakikisha usalama wake.

https://p.dw.com/p/2v4yN