1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Cologne yamtimua Gisdol, Mvutano wafukuta Bayern

Josephat Charo
12 Aprili 2021

Kibarua cha kocha wa FC Cologne Markus Gisdol chaota mbawa, baada ya klabu hiyo kutota katika mechi ya Bundesliga, huku Bayern Munich wakiendelea kutamba kileleni mwa ligi licha ya kujikwaa na kulazimishwa sare maua na Union Berlin. Mvutano wajitokeza Munich!

https://p.dw.com/p/3rtUo