1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Corona yaisimamisha Berlin

Mohammed Khelef
20 Machi 2020

Kirusi cha corona kimeyabadilisha maisha kwa kiasi kikubwa kwenye mitaa ya mji mkuu wenye shughuli nyingi wa Ujerumani, Berlin, ambayo kwenye wakati huu wa mwanzoni mwa msimu wa Machipuko huwa imejaa watu. Hivi sasa wamejifungia majumbani mwao kujikinga na maambukizi ya kirusi hicho. Kurunzi 20.03.2020

https://p.dw.com/p/3ZlaI