1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Maalim Seif azungumza na Deutsche Welle

Mohammed Abdulrahman Mohammed10 Juni 2015

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar na Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad, anazungumzia uchaguzi mkuu wa Oktoba 2015 ambapo yeye anasimama tena kuwania nafasi ya urais wa Zanzibar kwa mara ya tano.

https://p.dw.com/p/1Fef2