1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Dhima ya upekee wa diplomasia ya Oman kimataifa

Mohammed Khelef
8 Desemba 2018

Licha ya kuwa taifa lenye wakaazi wasiofikia milioni tano na lisilo na kiwango cha utajiri wa mafuta walichonacho majirani zake wa Ghuba, Oman inatajwa kuwa na nguvu na heshima ya aina yake ulimwenguni kutokana na historia yake kongwe kwenye diplomasia. Maoni Mbele ya Meza ya Duara wiki hii inaangazia dhima ya upekee huu wa diplomasia ya Oman na mchango wake kimataifa.

https://p.dw.com/p/39i8f