1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Dini – Kipindi 03 – Kuanza Mjadala

12 Aprili 2011

Je kuwa msichana muislamu na kiongozi au mwanamichezo vinalingana? Na je uhasama wa zamani kati ya familia – pia kwa utamaduni – ni muhimu kuuendeleza? Nini maana ya kuwa kiongozi mzuri? Basi tujadiliane!

https://p.dw.com/p/RHJo