1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

DRC yatoa leseni za utafiti wa mafuta na gesi kwa vitalu 30

Hawa Bihoga28 Julai 2022

Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo itatoa leseni za utafiti wa mafuta na gesi kwa ajili ya vitalu 30 na kuruhusu uchimbaji katika sehemu za msitu wa mvua ambao ni wa pili kwa ukubwa duniani, hali ambayo huenda ikasababisha kuachiwa kwa viwango vikubwa vya gesi ya kaboni angani. Sikiliza mahojiano kati ya Hawa Bihoga na mwanaharakati wa mazingira nchini Kongo Josue Mukura.

https://p.dw.com/p/4Emu2