1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

DW Kiswahili Habari za Ulimwengu Jan 05, 2024 Mchana

5 Januari 2024

Viongozi wa Iran waapa kulipiza kisasi baada ya shambulio la bomu katika hafla ya kumuenzi kamanda wa nchi hiyo Qasem Suleiman. Shirika la kuratibu misaada ya dharura OCHA limesema misaada ya kibinadamu imeshindwa kusafirishwa kuelekea kaskazini mwa Gaza. China yazihimiza Korea Kusini na Korea Kaskazini "kujizuia" baada ya Pyongyang kurusha makombora.

https://p.dw.com/p/4atwU