1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
Vyombo vya habari

DW na matumizi ya Kiswahili

1 Februari 2013

Miongoni mwa fahari hapa DW katika miaka hii 50 ni matumizi ya lugha ya Kiswahili. Mohammed Khelef amezungumza na Katibu Mkuu wa Baraza la Kiswahili la Tanzania (BAKITA), Suleiman Sewange, juu ya dhima yetu katika lugha.

https://p.dw.com/p/17WDt
DW Jorunalist Muhamed Abdurahman mit Schulkindern in Kigali, Ruanda.
50 Jahre Kisuaheli RedaktionPicha: DW