1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Elimu Jumla– Kipindi 1 – Mifuko ya Plastiki

7 Aprili 2011

Jack amemueleza Jenny kuhusu tatizo sugu: mifuko ya plastiki. Sehemu kubwa ya mamilioni ya mifuko ya plastiki inayotengenezwa kila mwaka hutupwa tu ovyo. Je, mifuko hiyo ya plastiki hutengenezwa vipi?

https://p.dw.com/p/RGDS