1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

England kuchunguza kauli za kibaguzi dhidi ya wachezaji

Josephat Charo
12 Julai 2021

Polisi wa England wachunguza kauli za kibaguzi dhidi ya wachezaji watatu wa timu ya taifa baada ya timu hiyo kupoteza mechi ya fainali ya kombe la EURO 2020 dhidi ya Italia. Upi mustakhbali wa soka la England?

https://p.dw.com/p/3wO32