1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

GOMA:Ndege ya mizigo ya mizigo yaanguka Goma ,watatu wafa

18 Mei 2007
https://p.dw.com/p/CC0v

Watu watatu wamekufa katika ajali ya ndege ya mizigo iliyotokea katika mji wa Goma mashariki mwa Jamhuri wa Kidemokrasi ya Kongo.

Ndege hiyo ilianza kuwaka moto mara tu baada ya kuanza safari.