1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Habari za Ulimwengu Januari 04, 2024 Mchana

4 Januari 2024

Miongoni mwa yaliyomo kwenye Taarifa yetu ya Habari za Ulimwengu mchana huu: - Waziri wa mambo ya nje wa Marekani Anthony Blinken atarajiwa kufanya ziara Mashariki ya kati. - China yasema imeshtushwa na mashambulizi mawili ya mabomu yaliyowaua watu wapatao 95 nchini Iran. - Na Sierra Leone imemfungulia mashitaka rais wa zamani Ernest Bai Koroma kwa uhaini na makosa mengine.

https://p.dw.com/p/4ardH