1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Haki za Watoto – Kipindi 01 – Wanajeshi Watoto

22 Machi 2011

Katika kipindi chetu cha kwanza, tunakutana na Kisembo na Umirembe kutoka Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo. Walipokuwa na umri wa miaka 13 na 12, waligeuzwa kuwa wauaji kwenye mzozo usio na huruma ambao hawakuusababisha.

https://p.dw.com/p/QqtV