1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Hakuna kiwango salama cha unywaji pombe

Sylvia Mwehozi
13 Septemba 2018

Huu ni utafiti wa hivi karibuni kabisa uliochapishwa katika jarida mashuhuri la masuala ya utabibu The Lancet na kutupilia mbali fikra kuwa ulevi wa wastani unaweza kuwa na manufaa ya kiafya.Ambata naye Rashid Chilumba katika makala ya Afya yako.

https://p.dw.com/p/34p0x