1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Hali ikoje Tanzania kuelekea uchaguzi mkuu wa Oktoba 28?

Saumu Ramadhani Yusuf9 Oktoba 2020

Kipindi cha Maoni mbele ya Meza ya Duara leo kinapigia darubini hali ya kisiasa nchini Tanzania. Kampeni zimepamba moto, lakini pia zipo mada kochokocho ikiwemo uhuru wa vyombo vya habari na matumizi ya vyombo vya dola mfano polisi pamoja na haki za binadamu. Je waangalizi, wachambuzi, waandishi habari na wadau wengine wanazungumziaje hali ilivyo? Saumu Mwasimba ndiye mwenyekiti wa mjadala leo.

https://p.dw.com/p/3jg1v