1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Hali ya kisiasa katika chama cha ODM nchini Kenya

13 Mei 2008

Majadiliano juu ya kuundwa muungano wa upinzani kwenye bunge la Kenya baina ya wabunge wa vyama vya ODM na PNU yanapata kasi huko Nairobi.

https://p.dw.com/p/Dz8M
Wafuasi wa chama cha ODM nchini KenyaPicha: AP Photo / Sayyid Azim

Huku wabunge kadhaa wa ODM wakiwa nyuma yampango huo wakila kiapo kwenda kinyume na wito wa kiongozi wa chama chao na waziri mkuu, Raila Odinga, kwamba waachne na wazo hilo.

Othman Miraji alizungumza na katibu mkuu wa chama cha ODM na waziri huko Kenya, Profesa Anyang Anyong.