1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Siasa zaendelea kupamba moto Kenya

Josephat Charo
13 Mei 2019

Wakati siasa zikiendelea kushika kasi nchini Kenya, rais wa nchi hiyo Uhuru Kenyatta hajaonekana hadharani katika shughuli zake, hatua ambayo imeilazimu ikulu kutoa taarifa kwamba yupo anaendelea na kazi zake. Sikiliza ripoti ya Thelma Mwadzaya.

https://p.dw.com/p/3IPH0