1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Hali ya siasa nchini Zimbabwe kuelekea uchaguzi

Josephat Charo
11 Agosti 2023

Zimbabwe inajiandaa kwa uchaguzi wa rais na bunge Agosti 23 katika uchaguzi ambao wachambuzi wanatarajia kinyang'anyiro kikali kati ya mgombea wa chama tawala cha ZANU-PF, rais aliye madarakani Emmerson Mnangagwa na kiongozi wa chama cha upinzani Citizens Coalition for Change, CCC, Nelson Chamisa. Jiunge na Josephat Charo katika kipindi cha Maoni mbele ya meza ya duara.

https://p.dw.com/p/4V23G