1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Harry Kane akosa kutamba mbele ya Eintracht Frankfurt

11 Desemba 2023

Rekodi ya Bayern Munich ya kutofungwa msimu huu katika ligi kuu ya kandanda ya Ujerumani Bundesliga yaota mbawa baada ya kupokea kichapo cha 5-1 mbele ya Eintracht Frankfurt ugani Deutsche Bank Park. Ungana na Babu Abdalla akufahamishe yaliyojiri viwanjani.

https://p.dw.com/p/4a21g