1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Hebu tuizungumzie hedhi ya mwanamke

Lilian Mtono
18 Novemba 2021

Wengine huuita ni "wakati ule wa mwezi", wengine wanasema "siku zake" na majina mengine mengi tu. Lakini ukiachana na haya yote, kuna neno moja tu, HEDHI. Unajua nini kuhusu hedhi? Mfululizo wa makala za Jinsia na Mwili zina mengi unayoweza kufaidika nayo, na hasa linapokuja suala la kuzungumza kwa uwazi na kwa kina. Ungana nasi hapa kusikiliza mengi kutoka kwa mtaalamu kuhusu HEDHI.

https://p.dw.com/p/438zu