1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Hivi Ulaya ndio kuna maisha mazuri?

Lilian Mtono
1 Desemba 2017

Kijana hebu tushirikishane. Mbona vijana wengi hivi sasa wanataka kwenda Ulaya kusaka maisha? Hivi ni kweli Ulaya ndio kunapatikana maisha mazuri? Na nani unamtumia kama mtu wako wa mfano ama "Role model" kulithibitisha hili? Tizama video hii kisha tupe maoni yako.

https://p.dw.com/p/2ocWG