1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ibada za haraka haraka katika makanisa ya barabarani

Oumilkheir Hamidou
23 Aprili 2019

Mnamo kipindi hiki cha sikukuu ya Pasaka Sura ya Ujerumani inamulika "ibada ya haraka haraka", mashuhuri nchini Ujerumani. Ibada hizi hufanyika kwenye makanisa ya barabara kuu. Wao ni sehemu ya jamii inayokuwa-wasafiri wasiojulikana majina wanaotembelea makanisa ya barabara kuu. Jiunge na Oummilkheir akikusimulia zaidi.

https://p.dw.com/p/3HH1J