1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Je hofu ya ukimwi kwa vijana imepungua?

1 Desemba 2020

Kulingana na takwimu za ulimwengu, Maambukizi ya VVU miongoni mwa vijana bado yapo kwa kiwango kikubwa. Kwa mfano nchini Kenya, ripoti zinaashiria kuwa wanafunzi ndio wanaoambukizwa virusi vya HIV kwa wingi. Je hofu ya ukimwi miongoni mwa vijana imepungua na kwanini?#kurunzi

https://p.dw.com/p/3m3yT