1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Je mgogoro wa Libya wageuka kuwa wa Mataifa ya nje?

Saumu Ramadhani Yusuf20 Februari 2020

Baadhi ya Nchi za Umoja wa Ulaya zajitumbukiza moja kwa moja kwenye mgogoro wa Libya,yakitajwa hasa kuwa na nia ya kuzuia wakimbizi na wahamiaji kutoka Libya kutumbukia kwenye nchi zao. Wakati Jenarali mbabe wa kivita Khalifa Khaftar akiungwa mkono na nchi KAMA Ufaransa,Urusi na nyingine, Uturuki yajitowa kifua mbele kumsaidia waziri mkuu Fayez al Seraj. Ni nani wakuiokoa Libya? Sikiliza Maoni

https://p.dw.com/p/3Y4P0

Deutschland Libyen-Konferenz in Berlin
Picha: picture-alliance/dpa/A. Nikolsky