1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Jeshi Nigeria lauwa wakimbizi kimakosa

Iddi Ssessanga
18 Januari 2017

Jeshi la anga Nigeria limewaua kimakosa watu wasiopungua 50 katika shambulio dhidi ya kambi ya wakimbizi kaskazini-mashariki. Rais wa Gambia Yahya Jammeh atangaza hali ya hatari, huku bunge likirefusha muhula wake kwa miezi mitatu kabla ya kuapishwa kwa rais mteule Adama Barrow. Na makundi hasimu ya Palestina yakubaliana kuunda serikali ya umoja kueleka uchaguzi ndani ya miezi sita.

https://p.dw.com/p/2W0M4