1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Jitihada za kupunguza joto ulimwenguni

19 Aprili 2016

Kipindi cha Mtu na Mazingira kinaangazia harakati za shatua za maendeleo katika kupambana na mabadiliko ya tabia nchi na kufanikisha matarajio yaliyoletwa na makubaliano ya Paris yaliofikiwa mwishoni mwa mwaka 2015.

https://p.dw.com/p/1IYMJ
Ice Blog Grönland Arktis Meer Eis Eisberg Gletscher
Athari za kuyeyuka kwa theluji katika maeneo ya bahari katika mzingo wa AktikPicha: DW/Irene Quaile

Kusikilizia kipindi cha "Mtu na Mazingira" kilichotayarishwa na Mohammed Dahman bonyeza kitufe cha alama ya kusikilizia masikioni hapo chini.