1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Juhudi za kuwahifadhi Kasa mjini Lamu

Sylvia Mwehozi
3 Juni 2019

Kasa wako katika hatari ya kuangamia kwani wanakabiliana na athari za uchafuzi wa mazingira, ujenzi kwenye fuo za bahari na shughuli za uvuvi hasa wa meli kubwa. Hali hiyo ndiyo inayotusukuma kwenye mada ya leo ya makala ya mazingira na Thelma Mwadzaya.

https://p.dw.com/p/3Jf6j