Jumuiya za Kiraia – Kipindi 2 – Klabu ya jamii07.04.20117 Aprili 2011Kipindi hiki kinahusu aina fulani ya klabu au mkusanyiko wa watu usio rasmi nchini Mali kwa jina „the Grins“. Watu hucheza karata, kunzungumza na kunywa chai. Kufahamu zaidi tunaelekea Bamako.https://p.dw.com/p/REHIMatangazo