1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kalonzo Musyoka atangaza nia ya kuwania urais 2022

Sudi Mnette
4 Aprili 2018

Sikiliza mahojiano ya kinagaubaga na Kalonzo Musyoka, kiongozi wa chama cha upinzani Kenya cha Wiper Democratic Movement sehemu ya muungano wa National Super Alliance (NASA), baada ya kusema kwamba hatomsaidia mgombea mwingine yeyote katika uchaguzi ujao wa urais mwaka 2022, na badala yake atagombea mwenyewe ili awe mrithi wa Rais Uhuru Kenyatta.

https://p.dw.com/p/2vSBj